Bigirimana, Jean de Dieu
(2024-10)
Utafiti wetu ulilenga kuchunguza athari za kifonolojia za Kinyarwanda katika ujifunzaji wa
lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo, malengo mahususi ya utafiti yalikuwa mawili. Mosi, kubainisha
athari za kifonolojia za lugha ya ...